Posts

Showing posts from April, 2019

BANKING SODA NA U.T.I SUGU

Kunywa baking soda kutibu UTI Habari zenu ndugu zangu, leo nimewaletea dawa nzuri kabisa kwa ugonjwa wa UTI ambayo ni banking soda Baking Soda imekuwa ikisaidia kwa mambo mengi hasa magonjwa, mfano tumewahi kuiandika kwa kuzuia kiungulia, kung’arisha meno na magonjwa mengine. Kwa upande wa UTI, baking soda imekuwa ikisaidia kupunguza asidi kwenye mkojo hivyo kama una ugonjwa huu, unashauriwa kunywa ili kupunguza makali yake na hata kuponya moja kwa moja Jinsi ya kutumia kama dawa – Chukua kijiko 1 cha chai cha baking soda. – Glasi moja ya maji Ukishapata vyote, koroga kwenye maji safi kisha kunywa glasi nzima. Kunywa kinywaji hiki asubuhi na mapema kabla ya kula kitu, usitumie tiba hii zaidi ya wiki moja. Kumbuka: Usiache kwenda haja ndogo kila unapojisikia kwani inasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza maumivu, kama una tabia ya kubana mkojo ni mbaya ukiwa na ugonjwa huu kwa sababu itakuongezea maambukizi. Pia kunywa jitajidi kunywa maji mengi au kula matunda yanayosaidia kuongeza maji

KITUNGUU SWAUMU NA MAGONJWA 30

Kitunguu swaumu hutibu magonjwa 30 Haya ni baadhi ya magonjwa yaliyothibitika kutibika na yanatibika au kukingika na kitunguu swaumu: Huondoa sumu mwilini Husafisha tumbo Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro) Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine Huzuia kuhara damu (Dysentery) Huondoa Gesi tumboni Hutibu msokoto wa tumbo Hutibu Typhoid Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi Hutibu mafua na malaria Hutibu kifua kikuu (ukitumia kitunguu swaumu kesho yake unaweza kutokwa na makohozi mengi tu ambayo ni ishara kwamba kweli kinatibu kifua kikuu (TB) Hutibu kipindupindu Hutibu upele Huvunjavunja mawe katika figo Hutibu mba kichwani Huupa nguvu ubongo. Kazi nzuri niliyopenda zaidi katika kitunguu swaumu. Huzuia meno kung’ooka na kutuliza maumivu Huongeza SANA nguvu za kiume pia hutibu uanithi (kushindwa kusimama kabisa uume) Hutibu maumivu ya kichwa Hutibu kizunguzungu Hutibu shinikizo la juu la damu Huzuia saratani/kansa Hutibu maumivu ya jongo/gout Huuon

Maumivu ya shingo na matibabu yake

Habari wapendwa, kipekee namshukuru Mungu kwa kunipa uzima na naamini mu wazima wa afya pia kwa uwezo wake. leo tena tunakutana kwenye makala zetu za kiafya na hapa leo tunazungumzia Maumivu ya shingo, njia za kujikinga zayo na pia matibabu yake. Maumivu ya shingo ni moja ya tatizo ambalo wanamichezo na watu wa kawaida limewahi kuwapata katika maisha yao ya kila siku, tatizo hilo huwa na maumivu ya wastani mpaka makali yasiyovumilika. Shingo kwa ujumla imeundwa na pingili za vifupa vidogo vilivyoanzia katika fuvu la kichwa. Katika ya vifupa hivyo huwa na santuri plastiki (cervical disc) ambazo hukaa kati ya pingiri moja na nyingine kazi yake ni kunyonya shinikizo la uzito na kuzuia msagiko. Vifupa, nyuzi ngumu za ligamenti na misuli ya shingo kazi yake ni kutoa msaada kwa kichwa na kuwezesha miendo mbalimbali ikiwamo pembeni na kujizungusha. Hivyo basi hitilafu, shambulizi au majeraha yoyote yanaweza kusababisha maumivu ya shingo. Chanzo kikubwa cha kujitokeza kwa tatizo hili ni kujer

Mti wa mnyonyo ni tiba tosha kwa magonjwa

Mti wa mnyonyo ni tina ya magojwa mengi sana katika mwili wa binadamu Mti wa mnyonyo una faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Karibu kila kitu kinachopatikana kwenye mmea wa mnyonyo kina faida za kiafya kwa mwanadamu. Majani ya nyonyo ni tiba ya kifua kikuu na mizizi yake ni dawa ya mafindofindo, kuungua, macho yanjano, uvimbe, koo, kisonono na kaswende. Kikonyo chake ni dawa ya kwikwi. JINSI YA KUTUMIA MMEA WA MNYONYO KUJITIBU MAGONJWA NA MATATIZO MBALIMBALI YA KIAFYA. Kwikwi : Jaza maji kwenye kikonyo, mpe mgonjwa anywe kila baada ya dakika 3 mpaka kwikwi iishe. Kuungua : Meza punje za mti wa nyonyo kwa maji kiasi cha glasi moja kwa siku kwa muda wa siku tano. Kutibu miguu inayo uma : Tumia majani kwa kufungia miguu inayouma. Maumivu Ya Mgongo : Majani yake ukiyapasha moto yafaa kukanda mgongo wenye maumivu. Kutibu Kaswende na Kisonono : Ponda mizizi ya mti wa mnyonyo, kisha chemsha na tumia kunywa glasi moja mara mbili kwa siku kwa muda wa siku saba. Kuondoa Kondo La Nyuma : Mi

Faida za kitunguu swaumu

Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000 iliyopita. Matumizi makuu nyakati hizo yakiwa viungo katika mboga na tiba. Kitunguu swaumu kimetajwa kwenye vitabu mbalimbali vya dini vikielezea faida zake katika kutibu maradhi mbalimbali yasababishwayo na bakteria, matatizo katika mapafu, matatizo katika mfumo wa umen'genyaji chakula, na matatizo ya kuishiwa nguvu. Historia inaonesha kuwa, vitunguu swaumu vilianza kutumika China mwaka 510 K.K na pia vilitumiwa na wanajeshi wa Ugiriki na Roma. Aidha wasafiri wa vyombo vya baharini na vijijini pamoja na wakulima barani Afrika walivitumia sana. Mwaka 1858, mtafiti na mwanasayansi wa nyakati hizo, Louis Pasteur aligundua uwezo wa kitunguu swaumu katika kuua vimelea mbalimbali vinavyosababisha magonjwa, na hivyo vikaanza kutumika kama dawa ya kusafishia vidonda na kuzuia kidonda ndugu hasa zama

KUWENI MAKINI NA DAWA HIZI

Image

FAIDA ZA MAJANI YA MPERA

1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na kikohozi. 2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio (allergy). 3. Pia majani haya ya mpera yakichemshwa kama chai yanaondoa cholesterol iliyozidi mwilini. 4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango cha tatizo la sukari mwilini. 5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume. 6. Pia inatumika kama scrub ya uso. Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi na inasaidia kuondoa uchafu usoni. 7. Pia majani ya mpera yakichemshwa ni dawa ya kuponyesha tumbo la kuhara. 8. Kama umejikata kidogo unaweza kutumia majani ya mpera yalioshwa na kusagwa vizuri kwa kupunguza maumivu na kukulinda na maambukizi ya bakteria. 9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na mdudu na kupunguza maumivu. 10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina uwezo wa kutibu tezi dume. 11. Kutokana na kuwa na vitamini C kwa wingi majani ya mpera yana uwezo mku

SABABU, DALILI NA TIBA YA UVIMBE KWENYE KIZAZI

Sababu 1. Kuongezeka sana vichocheo vya progesterone na estrogen kuzidi kiwango mwilini. 2. Ujauzito. 3. Uzito na unene kupita kiasi. 4. Jenetiki zisizo za kawaida. 5. Mfumo usio sawa wa mishipa ya damu. 6. Sababu za kurithi. 7. Lishe isiyo sawa. 8. Sumu na taka mbalimbali n.k. dalili 1. Kupata damu nyingi wakati wa hedhi. 2. Maumivu makala wakati wa siku za hedhi. 3. Kuvimba miguu. 4. Unaweza kuhisi una ujauzito. 5. Maumivu wakati wa tendo la ndoa. 6. Kuhisi kuvimbiwa. 7. Kupata haja ndogo kwa taabu. 8. Kutokwa na uchafu ukeni. 9. Kupata choo kigumu au kufunga choo. 10. Maumivu nyuma ya mgongo. 11. Maumivu katika miguu ikiwa ni pamoja na miguu kuwaka moto. 12. Upungufu wa damu. 13. Maumivu ya kichwa. 14. Uzazi wa shida. 15. Kutopata ujauzito. 16. Kuvimba sehemu ya chini ya tumbo. 17. Maumivu ya nyonga. 18. Mimba kutoka mara kwa mara (miscarriage). tiba unaweza kutumia tiba mbadala mbali mbali kuweza kutibu uvimbe hizi ni baadhi ambazo unaweza kujitibu ukiwa nyumbani

Majani ya mpera hutibu bawasili,tatizo la hedhi na faida zingine 16

1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na kikohozi. 2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio (allergy). 3. Pia majani haya ya mpera yakichemshwa kama chai yanaondoa cholesterol iliyozidi mwilini. 4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango cha tatizo la sukari mwilini. 5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume. 6. Pia inatumika kama scrub ya uso. Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi na inasaidia kuondoa uchafu usoni. 7. Pia majani ya mpera yakichemshwa ni dawa ya kuponyesha tumbo la kuhara. 8. Kama umejikata kidogo unaweza kutumia majani ya mpera yalioshwa na kusagwa vizuri kwa kupunguza maumivu na kukulinda na maambukizi ya bakteria. 9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na mdudu na kupunguza maumivu. 10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina uwezo wa kutibu tezi dume. 11. Kutokana na kuwa na vitamini C kwa wingi majani ya mpera yana uwezo mku