BANKING SODA NA U.T.I SUGU

Kunywa baking soda kutibu UTI Habari zenu ndugu zangu, leo nimewaletea dawa nzuri kabisa kwa ugonjwa wa UTI ambayo ni banking soda Baking Soda imekuwa ikisaidia kwa mambo mengi hasa magonjwa, mfano tumewahi kuiandika kwa kuzuia kiungulia, kung’arisha meno na magonjwa mengine. Kwa upande wa UTI, baking soda imekuwa ikisaidia kupunguza asidi kwenye mkojo hivyo kama una ugonjwa huu, unashauriwa kunywa ili kupunguza makali yake na hata kuponya moja kwa moja Jinsi ya kutumia kama dawa – Chukua kijiko 1 cha chai cha baking soda. – Glasi moja ya maji Ukishapata vyote, koroga kwenye maji safi kisha kunywa glasi nzima. Kunywa kinywaji hiki asubuhi na mapema kabla ya kula kitu, usitumie tiba hii zaidi ya wiki moja. Kumbuka: Usiache kwenda haja ndogo kila unapojisikia kwani inasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza maumivu, kama una tabia ya kubana mkojo ni mbaya ukiwa na ugonjwa huu kwa sababu itakuongezea maambukizi. Pia kunywa jitajidi kunywa maji mengi au kula matunda yanayosaidia kuongeza maji mwilini kama vile nanasi,tango, tikiti maji nk.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MKUNDE PORI KIBOKO ZA UZAZI

FAIDA ZA MAJANI YA KIVUMBASI