MKUNDE PORI KIBOKO ZA UZAZI

 ZIJUE FAIDA ZA MKUNDE PORI KWA MATATIZO YA UZAZI

Mkunde pori ni mti ambao umekuwa ukisaidia watu wengi wenye matatizo ya uzazi. majani na mizizi ya mkunde pori vimekuwa suluhisho kwenye uzazi na kusaidia watu wengi wenye matatizo ya uzazi  kupona kabisa.

FAIDA ZA MKUNDE PORI


MIZIZI YA MKUNDE PORI NA FAIDA ZAKE

■ Inasafisha kizazi

■ Inazibua mirija iliyoziba

■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi.

■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka

■ Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali

■ Majani ya mkunde pori pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume

• Dalili mojawapo itakayokufanya ujue dawa hii ya mkunde pori inafanya kazi ni kwenda haja ndogo mara nyingi kuliko kawaida.
• Dalili nyingine ni tumbo kuvuta sana chini ya kitovu. 
Usipoona dalili hizi usiogope maana ukubwa wa tatizo unatofautiana.


ANGALIZO KWA WANAWAKE WATAKAOTUMIA KWA AJILI YA UZAZI, Ukinywa dawa hii hakikisha siku za hatari unakutana na mwenzi wako...na baada ya hapo usitumie dawa mpaka upime mimba kwanza maana mimba nyingine dalili zake huchelewa kuonekana hivyo unaweza ukanywa tena mimba kama imeingia ikatoka.
Wajawazito hawaruhusiwi kutumia.


MATUMIZI


CHUKUA MIZIZ YAKE CHEMSHA KISHA KUNYWA ASUBUH MCHANA NA JION KWA UJAZO WA GLASS YA MAJI AU KIKOMBE CHA CHAI

TUMIA KWA MDA WA SIKU 21     NA UTAONA MABADILIKO

Comments

  1. Ni lazima kunywa ukiwa kwenye hedhi? Au hata baada ya hedhi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbn hajib jamn

      Delete
    2. Mm naitaji mpndwa naomb nichk bc niwez kuipata 0623375960

      Delete
    3. 17, 2022 at 3:01 PM
      Mm naitaji mpndwa naomb nichk bc niwez kuipata 0623375960

      Delete
  2. Replies
    1. Kama hupo Dar ninapokaa imejaa kibao

      Delete
    2. https://www.instagram.com/p/CbIP55mguI5/?utm_medium=copy_link

      Delete
    3. Sahamani naomb kujua japo nipo nje y mada natk kujua kwann nikinywa mziwaziwa kichwa kiniuma sanaaa

      Delete
    4. Nenda sokoni tu waulize unataka mizizi ya mkunde pori

      Delete
  3. Kwa mahitaji ya miti na makati ya Mkunde pori na mziwa ziwa tufollow @insta @ mziwaziwa _na_mkunde_ pori.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ‪Tupate WhatsApp kwa mahitaji ya dawa hizi na maelekezo yake +255 675 617 056‬

      Delete
  4. Unaweza tumia mtu akiwa kwa hedhi pia?

    ReplyDelete
  5. Jaman mbn wengine anaosema ninywe nikiwa period so ni mda gan mzuri wa kunywa hio dawa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukikaribia period, kama umebakiwa na siku 3 au 2 kabla ya period ndio unakunywa

      Delete
  6. Nashukru dawa nimeipata lakini uakuywa yamoto au vuguvugu au baridi nisaidir apo au yote sawa inafaa

    ReplyDelete
  7. Jamn tunakunywa ya Moto au vipi🙄🙄🙄

    ReplyDelete
  8. Na tunaaanza kutumia tukiwa kwenye hedhi ama vip

    ReplyDelete
  9. Jamn kwa wasio n Ute wa uzazi mimba itaweza kutengwa Tena

    ReplyDelete
  10. Unakunywa ya kuchemsha

    ReplyDelete
  11. Nitafute nikutumie mkunde pori, ,no 0784448125

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

FAIDA ZA MAJANI YA KIVUMBASI

BANKING SODA NA U.T.I SUGU