FAIDA ZA MAJANI YA KIVUMBASI

 



FAIDA ZA MTI WA KIVUMBASI


Kivumbasi ni dawa inayotumika dunia nzima hasa India.

Kivumbasi kipo aina tatu lkn niyazungimzia kivumbasi kidogo kile kisicho Na harufu Kali.


FAIDA ZA KIAFYA


1. Hutibu sukari.
2.Kivumbasi hutibu sukari kwa haraka. 3. Hupunguza unene Na kitambi.
4. Hutibu magonjwa ya tumbo.
5. Watu wasioona siku zao kivumbasi hutibu hilo tatizo.
6. Kivumbasi hutibu matatizo ya kutokupata choo.
7. Kwa mtoto mchanga asiyepata choo au anayeumwa tumbo basi mpe kijiko kimoja ya juice ya kivumbasi.


KWA MAJINI NA UCHAWI


1. Kivumbasi ukinywa kwa wingi huondoa uchawi mwilini kwa sababu wachawi hukiogopa kivumbasi.

2. Nyumba yenye vituko vya kutembea vitu au Haina amani au walalaji wa humo kuota mandoto mabaya pigia deki kivumbasi pia choma kivumbasi kikavu ufukize Moshi ktk kila chumba.

3 kivumbasi huondoa nuksi mwilini Na kukupa mvuto wa biashara Na mapenzi kogea kivumbasi ,kingine jifushe Na kingine kunywa kwa siku 21 utaona ajabu sana.

4. Kivumbasi mtu aliyeingiwa Na jini mbaya akinywa kivumbasi kwa wingi nankukoga magonjwa Na athari zote alizosababishiwa Na jini huyo hata kama ni kulemaa miguu atapona.

5.Kuvuta wateja.
Pigia deki kwenye biashara yako au mwagamwaga utaona ajabu sana..

6. Ukichanganya na manyoya ya kuku Na ya mbuzi basi ukimfusha mtu aliyedondoka chooni au mtu mwenye degedege atapona kabisa.

7.Kivumbasi hutibu kizazi kilifungwa kiuchawi au kijini.

8. Kivumbasi Na unga wa sembe ni kinga ya nyumba Na husafisha nyumba pia.

9. Kivumbasi Na kunde mbichi punje Saba hufubgua kifungo cha mwanamke asipate mimba.

Kivumbasi kina FAIDA nyingi Na kutokana Na miujiza yake India inatumika kama kinga ya nyumba ukipanda nyumbani kwako hasa mlangoni mtu mbaya hata mwizi haingii.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MKUNDE PORI KIBOKO ZA UZAZI

BANKING SODA NA U.T.I SUGU