FAIDA ZA MAJANI YA KIVUMBASI
FAIDA ZA MTI WA KIVUMBASI Kivumbasi ni dawa inayotumika dunia nzima hasa India. Kivumbasi kipo aina tatu lkn niyazungimzia kivumbasi kidogo kile kisicho Na harufu Kali. FAIDA ZA KIAFYA 1. Hutibu sukari. 2.Kivumbasi hutibu sukari kwa haraka. 3. Hupunguza unene Na kitambi. 4. Hutibu magonjwa ya tumbo. 5. Watu wasioona siku zao kivumbasi hutibu hilo tatizo. 6. Kivumbasi hutibu matatizo ya kutokupata choo. 7. Kwa mtoto mchanga asiyepata choo au anayeumwa tumbo basi mpe kijiko kimoja ya juice ya kivumbasi. KWA MAJINI NA UCHAWI 1. Kivumbasi ukinywa kwa wingi huondoa uchawi mwilini kwa sababu wachawi hukiogopa kivumbasi. 2. Nyumba yenye vituko vya kutembea vitu au Haina amani au walalaji wa humo kuota mandoto mabaya pigia deki kivumbasi pia choma kivumbasi kikavu ufukize Moshi ktk kila chumba. 3 kivumbasi huondoa nuksi mwilini Na kukupa mvuto wa biashara Na mapenzi kogea kivumbasi ,kingine jifushe Na kingine kunywa kwa siku 21 utaona ajabu sana. 4. Kivumbasi mtu aliyeingiwa Na jini...
Comments
Post a Comment