Posts

FAIDA YA JUISI YA ALOE VERA (MSHUBIRI)

Image
  Mshubiri (Aloe-Vera) ```Kama utainunua supermarket (aloevera gelly) basi Chukua jeli ya mshubiri (aloe-vera) vijiko vikubwa viwili, changanya na maji ya kawaida ili kupata kikombe kimoja au robo lita, changanya vizuri mchanganyiko huu na unywe kutwa mara 1 kwa siku 3 hadi wiki 2 au hadi utakapopona. Kama unaipata shambani kwako basi chukua jani moja la mshubiri, OSHA na katakata kisha liloweke kwenye nusu Lita ya maji kwa nusu saa, Utachuja na kunywa juisi yako. Kunywa mara moja kwa siku. Kwa sababu ni chungu, unaweza kuongeza asali ndani yake vijiko vikubwa vitatu ili kupunguza ukali wa dawa hii. Vitu vya kufanya kujikinga usipatwe na U.T.I •Ongeza unywaji maji kila siku au juisi za matunda, juisi uliyotengeneza mwenyewe nyumbani. •Epuka vinywaji baridi, pombe, chai ya rangi na kahawa. •Penda kuwa msafi. Mara zote jitawaze kutoka mbele kurudi nyuma (hasa kwa wanawake) na uepuke kuchangia na wengine vifaa vya bafuni. •Jisafishe vizuri mara baada ya tendo la ndoa. •Usiushikilie mkojo

NJIA YA ASILI YA KUPUNGUZA MAUMIVU YA TUMBO LA HEDHI

Image
JINSI YA KUPUNGUZA MAUMIVU    Maumivu ya hedhi hutokea pale tumbo nlinapojikunyata (contract) na kuachia ili kuondoa uchafu uliopo kwenye kuta za endometria. Maumivu ya hedhi hutofautiana kwa baadhi ya wanawake ambapo wengine hupata maumivu makali sana na wengine maumivu ya kawaida. Maumivu ya hedhi yanaweza kuwa makali sana na hata kuathiri ufanyaji kazi wa shughuli mbalimbali kwa siku kadhaa. Wanawake wengi hutumia dawa za maumivu kama panadol kupunguza maumivu yasiyo makali sana na dawa kama naproxen, diclofenac na ibuprofen kupunguza maumivu makali lakini wanatakiwa kufahamu kuwa dawa hizi huweza kusababisha vidonda vya tumbo kwani hukwangua kuta za tumbo hivyo hazipaswi kutumiwa mara kwa mara. Njia za asili unazoweza kutumia ili kupunguza maumivu yanayotokana na mzunguko wa hedhi ni pamoja na; Kupata usingizi wa kutosha na kupumzika, pia kufanya mazoezi mara kwa mara, yoga pamoja na kufanya shughuli ndogondogo husaidia kupunguza maumivu kwa baadhi ya wanawake. Kutumia maji ya moto

TANGAWIZI NA UVIMBE KWENYE KIZAZI

Image
  UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROID) Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi  mbao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi. Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids: 1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi) 2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi) 3. Subserosal(nje ya kizaz) DALILI ZA FIBROIDS 1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi. 2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lkn mwingi na mweupe. 3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana. 4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu. 5.hedhi zisizokuwa na mpango 6.maumivu wakati wa tendo la ndoa 7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa 8.maumivu makali wakati wa hedhi MATUMIZI YA TANGAWIZI Mizizi ya tangawizi ni mizuri sana katika kupunguza maumivu na kuongeza msukumo wa damu. Andaa chai ya tangawizi (kumbuka ni tangawizi na maji tu, usiweke m

FAIDA ZA MAJANI YA KIVUMBASI

Image
  FAIDA ZA MTI WA KIVUMBASI Kivumbasi ni dawa inayotumika dunia nzima hasa India. Kivumbasi kipo aina tatu lkn niyazungimzia kivumbasi kidogo kile kisicho Na harufu Kali. FAIDA ZA KIAFYA 1. Hutibu sukari. 2.Kivumbasi hutibu sukari kwa haraka. 3. Hupunguza unene Na kitambi. 4. Hutibu magonjwa ya tumbo. 5. Watu wasioona siku zao kivumbasi hutibu hilo tatizo. 6. Kivumbasi hutibu matatizo ya kutokupata choo. 7. Kwa mtoto mchanga asiyepata choo au anayeumwa tumbo basi mpe kijiko kimoja ya juice ya kivumbasi. KWA MAJINI NA UCHAWI 1. Kivumbasi ukinywa kwa wingi huondoa uchawi mwilini kwa sababu wachawi hukiogopa kivumbasi. 2. Nyumba yenye vituko vya kutembea vitu au Haina amani au walalaji wa humo kuota mandoto mabaya pigia deki kivumbasi pia choma kivumbasi kikavu ufukize Moshi ktk kila chumba. 3 kivumbasi huondoa nuksi mwilini Na kukupa mvuto wa biashara Na mapenzi kogea kivumbasi ,kingine jifushe Na kingine kunywa kwa siku 21 utaona ajabu sana. 4. Kivumbasi mtu aliyeingiwa Na jini mba

CHANGO LA UZAZI NA TIBA YAKE

Image
 LIJUE TATIZO LA CHANGO LA UZAZI.   Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi. DALILI  ZAKE Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.Ni vigumu kumpa mimba mwanamke. Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:- Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhiKuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoaSiku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilikaHujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhiKupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuing

MKUNDE PORI KIBOKO ZA UZAZI

Image
 ZIJUE FAIDA ZA MKUNDE PORI KWA MATATIZO YA UZAZI Mkunde pori ni mti ambao umekuwa ukisaidia watu wengi wenye matatizo ya uzazi. majani na mizizi ya mkunde pori vimekuwa suluhisho kwenye uzazi na kusaidia watu wengi wenye matatizo ya uzazi  kupona kabisa. FAIDA ZA MKUNDE PORI MIZIZI YA MKUNDE PORI NA FAIDA ZAKE ■ Inasafisha kizazi ■ Inazibua mirija iliyoziba ■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi. ■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka ■ Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali ■ Majani ya mkunde pori pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume • Dalili mojawapo itakayokufanya ujue dawa hii ya mkunde pori inafanya kazi ni kwenda haja ndogo mara nyingi kuliko kawaida. • Dalili nyingine ni tumbo kuvuta sana chini ya kitovu.  Usipoona dalili hizi usiogope maana ukubwa wa tatizo unatofautiana. ANGALIZO KWA WANAWAKE WATAKAOTUMIA KWA AJILI YA UZAZI, Ukinywa dawa hii hakikisha siku za hatar

ZIJUE FAIDA ZA MBEGU ZA MABOGA MWILINI

Image
HABARI ZA MUDA HUU WAPENDWA WA MAKALA ZETU, LEO TUNAONGELEA KUHUSU FAIDA ZA MBEGU ZA MABOGA MWILINI .KARIBU NA ENDELEA KUFUATILIA MAKALA ZATU. HIZI NI FAIDA KUU NNE ZA MBEGU ZA MABOGA MWILINI     1.   HUONGEZA NGUVU ZA KIUME Maajabu mengine ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajuwi bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu tezi dume (matatizo kama ya ngiri nk), zinashusha kisukari, zina protini nyingi ya kutosha na yenye ubora na mbaya zaidi ni kuwa zina madini ya ZINKI madini mhimu kuliko kitu kingine chochote kwenye upande wa nguvu za kiume na kinga ya mwili. Uzuri ni kuwa mbegu hizi hazina uchungu wowote, ni tamu kuzitafuna wakati wowote na mahali popote hata ukiwa ofisini unaweza kuwa nazo pembeni unatafuna huku unaendelea na kazi zako  pia zinaongeza uwingi wa mbegu za kiume (sperm c