FAIDA YA JUISI YA ALOE VERA (MSHUBIRI)


 

Mshubiri (Aloe-Vera)


```Kama utainunua supermarket (aloevera gelly) basi Chukua jeli ya mshubiri (aloe-vera) vijiko vikubwa viwili, changanya na maji ya kawaida ili kupata kikombe kimoja au robo lita, changanya vizuri mchanganyiko huu na unywe kutwa mara 1 kwa siku 3 hadi wiki 2 au hadi utakapopona.


Kama unaipata shambani kwako basi chukua jani moja la mshubiri, OSHA na katakata kisha liloweke kwenye nusu Lita ya maji kwa nusu saa, Utachuja na kunywa juisi yako. Kunywa mara moja kwa siku.


Kwa sababu ni chungu, unaweza kuongeza asali ndani yake vijiko vikubwa vitatu ili kupunguza ukali wa dawa hii.


Vitu vya kufanya kujikinga usipatwe na U.T.I


•Ongeza unywaji maji kila siku au juisi za matunda, juisi uliyotengeneza mwenyewe nyumbani.


•Epuka vinywaji baridi, pombe, chai ya rangi na kahawa.


•Penda kuwa msafi. Mara zote jitawaze kutoka mbele kurudi nyuma (hasa kwa wanawake) na uepuke kuchangia na wengine vifaa vya bafuni.


•Jisafishe vizuri mara baada ya tendo la ndoa.


•Usiushikilie mkojo muda mrefu, mara usikiapo kutaka kupata haja ndogo mara moja nenda


•Vaa nguo za ndani zilizotengenezwa kutokana na pamba.


•Epuka kaffeina (kahawa na soda).


•Epuka kujisaidia haja ndogo bila kujisafisha kwa maji

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MKUNDE PORI KIBOKO ZA UZAZI

FAIDA ZA MAJANI YA KIVUMBASI

BANKING SODA NA U.T.I SUGU